Mhe. Freeman Mbowe (katikati) kulia kwake ni Regina Lowassa (mke wa Lowassa) na kushoto kwake ni Edward Lowassa baada ya kukabidhiwa kadi cha Chadema.
Mwenyekiti
wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia akimpongeza Edward Lowassa punde baada
ya kujiunga na CHADEMA chama kimojawapo kinachounda umoja wa UKAWA.
Mke wa Edward Lowassa, Regina Lowassa akikabidhiwa kadi ya CHADEMA na Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Freeman Mbowe.
Mwenyekiti
wa CUF, Prof Ibrahim Lipumba akimpongeza Mhe. Edward Lowassa baada ya
kujiunga na CHADEMA chama kimojawapo kinachounda umoja wa UKAWA.
EmoticonEmoticon